top of page
Search

🌍 “Mabadiliko ya tabia ya nchi ni changamoto inayotishia maendeleo ya kijamii na kiuchumi duniani kote.”

Dec 13, 2024
1 min read

Irene Mbombo, mtaalamu wa mazingira na mwanaharakati wa mabadiliko ya tabia ya nchi, anazungumzia changamoto kubwa inayosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. @sautihub


Madhara yake yanajumuisha:

🌪️ Ukame na mafuriko yanayosababisha uharibifu wa miundombinu

🚨 Migogoro, vifo, na mlipuko wa magonjwa

đź’§ Uhaba wa maji na lishe duni

📉 Kupungua kwa pato la taifa na kuathiri sekta kama kilimo, ufugaji, viwanda, na utalii


Ili kukabiliana na changamoto hizi, tunapaswa:

🌱 Kupanda na kutunza miti

⚡ Kutumia nishati safi kama gesi na umeme

♻️ Kuthibiti utupaji taka holela

🤝 Kushirikiana na taasisi mbalimbali kutekeleza sera za mazingira


Sote tuna jukumu la kulinda sayari yetu kwa vizazi vya sasa na vijavyo. 🌿 @chagga_finest @chagga_finest





 
 
 

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page