top of page
Search

Jiamini na Vunja Mipaka: Ujumbe wa Kipekee kwa Vijana wa Afrika

🌍✨ "Dunia leo inatupa fursa za kuvunja mipaka ya kijinsia na kimila, hasa kupitia sekta kama ubaharia na masuala ya kidigitali," - Eliyusta Haule Filikunjombe, Marine Economist na Mwanzilishi wa @maritime_empowerment_org.


Vijana wenzetu, huu ni wakati wetu wa kuthubutu, kujifunza, na kuonyesha umahiri wetu. 🔑 Jiweke malengo makubwa, shirikiana na watu sahihi, na usikubali historia au hofu ikuzuie kutimiza ndoto zako. Kila hatua ndogo unayopiga ni msingi wa mafanikio yako makubwa! 🚀


🔥 Chukua hatua, onyesha ukijana wako na usonge mbele kama kijana wa Afrika mwenye uthubutu.


@sautihub @eliyusta_filikunjombe @maritime_empowerment_org @barakajoelmollel





 
 
 

Comments


bottom of page