"Hakuna Afya Bila Afya ya Akili"
- Saitot Kelvin Joel
- Jan 12, 2025
- 1 min read
đź§ Afya ya Akili ni Msingi wa Afya Bora!
Kwa maneno ya Glory Livingstone, mdau wa masuala ya afya ya akili:
"Afya akili ni zaidi ya kutokuwepo kwa magonjwa ya akili. Ni uwezo wa kushinda changamoto, kuwa na amani na mawazo yako, na kuchangia vyema katika jamii yako." @glorylivingstone_ @sautihub
Kila mmoja wetu anahitaji nafasi ya kuzungumza, kupata msaada, na kujenga tabia za kujitunza kama mazoezi na kupumzika. Pamoja, tunaweza kuondoa unyanyapaa na kuhakikisha kila mmoja anapata msaada anaohitaji.
đź’¬ Tuungane kuhakikisha afya ya akili inakuwa kipaumbele kwa wote!





Comments