top of page


"Ukatili wa Kijinsia na Maambukizi ya Ukimwi: Saidia Kuleta Mabadiliko"
🗣️ "Uhusiano kati ya ukatili wa kijinsia na maambukizi ya Ukimwi ni tatizo linaloathiri ndoa, familia, na jamii zetu kwa ujumla." -...
Saitot Kelvin Joel
Dec 15, 20241 min read


"Elimu ni Silaha Dhidi ya Ukatili - Tuchukue Hatua!"
📚✨ Elimu ni msingi wa jamii bora na yenye usawa. Katika kampeni yetu ya #SIOPOA, tunasisitiza umuhimu wa elimu kama kinga bora dhidi ya...
Saitot Kelvin Joel
Dec 9, 20241 min read


💔 Rushwa ya Kimapenzi SIO POA! 💔
Hongo ya kimapenzi ni aina ya ukatili wa kijinsia unaoharibu heshima na utu wa mtu. 🌍 Tanzania Projects kwa kushirikiana na washirika...
Saitot Kelvin Joel
Dec 6, 20241 min read


"Wajibu Wetu Wanaume: Sema SIO POA kwa Ukatili!"
Leo katika kampeni yetu ya #SIOPOA tunatoa wito kwa wanaume kushirikiana kwa dhati katika kupinga ukatili wa kijinsia. Kupambana na...
Saitot Kelvin Joel
Dec 5, 20241 min read


"Ukatili Hauna Nafasi: Sema SIO POA!"
Katika kampeni ya leo ya #SIOPOA, tunasisitiza kuwa ukatili wa kimwili, kiakili, au kiuchumi hauna nafasi katika jamii yetu. Ni jukumu...
Saitot Kelvin Joel
Dec 4, 20241 min read


"Heshima Ni Nguzo: Sema SIO POA kwa Ukatili!" #SIOPOA Kabisa!!!!!
Ukatili wa kijinsia hauna nafasi katika jamii yetu! Katika kampeni ya leo ya #SIOPOA tunasisitiza umuhimu wa kuheshimu maamuzi ya kila...
Saitot Kelvin Joel
Dec 3, 20241 min read


"Linda Watoto Wetu: Sema SIO POA kwa Ukatili!"
Katika kampeni ya leo ya #SIOPOA, tunasisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto wetu dhidi ya ukatili wa kijinsia na manyanyaso. Watoto ni...
Saitot Kelvin Joel
Dec 2, 20241 min read


"SIO POA: Simama Kupinga Ukatili wa Kijinsia!"
"SIO POA: Simama Kupinga Ukatili wa Kijinsia!" Kila mtu ana haki ya kuheshimiwa bila kujali jinsia yake. Tunapoadhimisha Siku 16 za...
Saitot Kelvin Joel
Nov 28, 20241 min read
bottom of page
